- 576 viewsDuration: 1:36Mahakama Kuu imetangaza uteuzi wa washauri 21 wanaohudumu katika afisi ya Rais kuwa kinyume cha katiba.Jaji Bahati Mwamuye aliamua kwamba mchakato uliotumika kuunda nafasi za ushauri na kuwateua wahusika ulikiuka Katiba na sheria za utumishi wa umma. Mahakama imebatilisha uteuzi huo na kusimamisha malipo yoyote kwa washauri hao huku ikiagiza ukaguzi kamili wa afisi zilizoundwa wakati huo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive