15 Sep 2026 11:06 am | Citizen TV 423 views Duration: 2:14 Makundi ya wajane katika Kaunti ya Nandi yamepewa vifaranga vya kuku walio boreshwa ili kuwawezesha kuanzisha na kukuza miradi ya ufugaji.