Skip to main content
Skip to main content

Mali ya mamilioni ya pesa yaharibiwa ikiwemo mibuni katika eneo la bunge la Kimilili

  • | Citizen TV
    1,511 views
    Duration: 1:39
    Mali ya thamani ya takriban shilingi milioni sita, ikiwemo mimea ya kahawa iliyokuwa imepandwa katika kipande cha ardhi cha ekari tatu pamoja na mtambo wa kukaushia kahawa, vyaharibiwa katika kiwanda cha kahawa cha Kaptola kilichopo eneo la bunge la Kimilili .