- 1,576 viewsDuration: 7:04Maonyesho ya kilimo kaunti ya Mombasa yameng'oa nanga hii leo. Washiriki zaidi ya 1,000 wanatarajiwa kuhudhuria maonyesho hayo ya kimataifa yakilenga kupiga jeki kilimo cha kisasa kutokana na mabadiliko ya tabianchi pamoja na mifumo ya kibiashara inayolenga kukuza uchumi. Rais William Ruto anatazamiwa