Skip to main content
Skip to main content

Marehemu Raila amiminiwa sifa wakati wa ukumbusho wake

  • | KBC Video
    2,501 views
    Duration: 3:14
    Hafla ya ukumbusho wa mwaka mmoja tangu kifo cha aliyekuwa waziri mkuu na kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga, iliandaliwa huko Bondo, katika kaunti ya Siaya leo, ambapo wakenya walihimizwa kuiga sifa zake. Akizungumza katika maadhimisho hayo ya mwaka mmoja ya kifo cha Raila, askofu wa kanisa la kianglikana dayosisi ya Nairobi, Jonathan Kabiru alimsifu Raila kwa uzalendo na ustahimilivu, maadili ambayo alisema yanafaa kuigwa. Mjane wa Raila, Ida, alihimiza wanasiasa kuiga moyo wa kusamehe wa Raila, akitoa mfano wa nyakati ambazo aliridhiana na mahasimu wake wakuu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive