21 Oct 2026 8:07 pm | Citizen TV 1,410 views Duration: 1:13 Mwendesha baiskeli Masengesho Yvonne wa Rwanda ameibuka mshindi katika kitengo cha mbio za muda binafsi kwa wanawake chipukizi kwenye Mashindano ya Afrika ya Baiskeli za Barabarani yanayoendelea katika Kaunti ya Kisumu.