Skip to main content
Skip to main content

Mashabiki wa Ufaransa washerehekea ushindi wao wa mabao 2 kwa 0 dhidi ya Morocco

  • | NTV Video
    170 views
    Duration: 2:23
    Mashabiki wa Ufaransa walisherehekea ushindi wao wa mabao 2 kwa 0 dhidi ya Morocco nje ya uwanja wa Boston. Nao mashabiki wa Morocco wamesononeka na kutamaushwa baada ya timu yao kukiaga kipute cha dunia makala ya mwaka huu yanayofanyika amerika, Mexico na Canada. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya