Maafisa wa usalama katika kaunti ndogo ya Igembe Kaskazini wameimarisha msako wa mashine haramu za michezo ya kamari kabla ya kuanza kwa likizo ndefu ya mwezi Disemba. Wakati wa operesheni iliyoongozwa na naibu kamishna wa kaunti, Martin Muhia, mashine haramu 22 zilinaswa kutoka vituo vitano mjini Laare na kisha zikaharibiwa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive