Skip to main content
Skip to main content

Mashirika ya kijamii yashinikiza bunge kuharakisha mageuzi ya uchaguzi

  • | Citizen TV
    689 views
    Duration: 2:42
    Mashirika ya kijamii yanashinikiza Bunge kuharakisha mageuzi muhimu ya uchaguzi, mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu wa 2027. Mashirika hayo yanasema mageuzi hayo yatasaidia kuhakikisha sheria na kanuni zilizowekwa zinatekelezwa, ikiwemo mwongozo wa matumizi ya kampeni. Pia yanataka utekelezaji wa uamuzi wa Mahakama ya Malindi kuhusu muda uliowekwa wa uchaguzi, ambao mahakama ilibaini ulikuwa na makosa. Brenda Wanga anaarifu.