Skip to main content
Skip to main content

Mashirika yaonya kuhusu kuchipuka kwa magenge ya kisiasa kuelekea uchaguzi wa 2027

  • | Citizen TV
    257 views
    Duration: 1:42
    Mashirika ya kijamii kwa pamoja na taasisi za maswala ya kiusalama nchini sasa yanaelezea wasiwasi kuhusu kuchipuka kwa magenge ya kisiasa, mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu. Wakiongozwa na halmashauri ya usimamizi wa maswala ya polisi IPOA na taasisi ya kimataifa ya ICJ, Makundi haya yanasema ghasia zilizoshuhudiwa katika miezi ya hivi karibuni huenda ni ishara ya kuandaliwa kwa kina kwa makundi ya kisiasa kutumika kwa vurugu msimu huu wa uchaguzi. Kwenye kikao hapa Nairobi, Makundi hayo sasa yanataka hatua zichukuliwe kwa haraka ili kuzuia hatari yoyote.