- 1,392 viewsDuration: 4:00Serikali za kaunti ziliandaa sherehe za mashujaa katika kaunti zao huku changamoto zinazokumba kaunti zao zikiangaziwa. Katika kaunti ya Kajiado, gavana Joseph Lenku alikariri tena wito wa kuamishwa kwa usimamizi wa mbuga ya kitaifa ya Amboseli hadi kwa serikali ya kaunti hiyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive