Skip to main content
Skip to main content

Matiang’i ataka mjadala wa kitaifa kuokoa sekta ya elimu

  • | Citizen TV
    2,724 views
    Duration: 3:09
    Naibu Kinara wa chama cha Jubilee Fred Matiang’i, sasa anapendekeza mjadala wa kitaifa ili kutafuta Suluhu ya changamoto zinazoikabili sekta ya elimu, kufuatia visa vinanvyoendelewa kushuhudiwa vya wanafunzi kugoma, huku wengine wakichoma shule.Matiang’i aliyezungumza huko Meru, pia amewarai vinara wenza kwenye upinzani kuweka kando tofauti zao za kisiasa na Rais William ruto, kwa nia ya kuokoa sekta hiyo anayosema imedhoofika tangu serikali ya Kenya kwanza kuchukua usukani.