- 500 viewsDuration: 1:51Wanafunzi wa Zamani wa shule ya kitaifa ya wavulana ya Lodwar High wameitaka Wizara ya Elimu kumwondoa mara moja mwalimu mkuu na bodi ya usimamizi ya shule hiyo, wakisema wamechangia matokeo duni ya KCSE yaliyotangazwa majuzi