Skip to main content
Skip to main content

Mauti barabarani Fort Tenan

  • | Citizen TV
    1,033 views
    Duration: 1:27
    Mtu mmoja ameada dunia kwenye ajali ya barabarani iliyohusisha mabasi mawili katika eneo la flyover tunel kwenye barabara kuu ya londiani kwenda muhoroni . Kulingana na daktari mkuu wa hospitali ya fortenan , watu kumi na mmoja wamepelekwa katika hospitali ya rufaa wa kericho , wawili wakiwa katika hali mbaya na wengine arubaini na watatu wakitibiwa na kuruhusiwa kwenda nyumbani.