9 Jun 2026 10:18 am | Citizen TV 3,251 views Duration: 3:52 Muda mfupi baada ya uamuzi huo, mawakili wa Gachagua wasema watakata rufaa wakidai kuwa mteja wao hakupata haki huku mawakili wa seneti wakisema wako tayari kujibu rufaa itakayowasilishwa kortini.