7 Aug 2026 1:26 pm | Citizen TV 1,464 views Duration: 47s Hafla ya mazishi ya marehemu Dakta Victoria Nthunya Mutiso aliyeuawa kwa kupigwa risasi wiki iliyopita imeanza na yaendelea nyumbani kwa mumewe David Ndetei katika eneo la Wanzauni Mbooni Magharibi kaunti ya Makueni.