Mbunge wa Nakuru Town East David Gikaria amepigwa faini ya shilingi milioni mbili na nusu kufuatia kupatikana na hatia ya kukiuka Kanuni za Maadili ya Uchaguzi wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Ol Kalou, kaunti ya Nyandarua.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya