- 1,199 viewsDuration: 1:18Mbunge wa Manyatta Gitonga Mukunji amtetea kiongozi wa chama cha Democracy for the Citizens Party (DCP), Rigathi Gachagua, akisema viongozi wa upinzani wapaswa kusitisha mashambulizi dhidi yake kwa kuwa ndiye kiongozi mwenye uungwaji mkono mkubwa zaidi ndani ya upinzani, hasa katika eneo la Mlima.