- 233 viewsDuration: 6:04Wanafunzi zaidi ya 1, 200, hii Leo wanatarajiwa kupata ufadhili wa masomo katika eneobunge la nakuru magharibi. wanafunzi hao watalipiwa karo ya shilingi 22,500 za NGCDG kila mmoja. Evans Asiba amehudhuria hafla hiyo na sasa tunaungana naye mubashara kwa mengi zaidi