22 Oct 2026 10:18 am | Citizen TV 8,961 views Duration: 1:31 Mbunge wa Westlands Tim Wanyonyi amepuuza hoja za baadhi ya viongozi wanaomdunisha seneta wa Kaunti ya Nairobi Edwin Sifuna wakisema hana tajriba na uwezo wa kuwa Rais.