16 Jan 2026 10:44 am | Citizen TV 9,020 views Duration: 1:46 Mlanguzi mmoja wa dawa za kulevya aina ya Bhangi katika eneo la Kerio Valley kaunti ya Elgeyo Marakwet amejisalimisha kwa polisi katika eneo la Chesongoch.