- 216 viewsDuration: 2:53Jaji Mkuu Martha Koome amesema idara ya mahakama inatambua juhudi zinazopigwa na mfumo mbadala wa kutatua mizozo miongoni mwa jamii zinazoishi Kaskazini Mashariki kwa kufanyia haki wanyonge na kupunguza uhasama na chuki miongoni mwao