12 Jan 2026 10:28 am | Citizen TV 1,373 views Duration: 2:13 Bunge la kaunti ya Mombasa limetaka serikali ya kaunti kuondoa kigezo cha mzazi kuwa mpigaji kura kwa mwanafunzi kupokea mgao wa basari kutoka kaunti hiyo.