- 215 viewsDuration: 1:37Serikali imeachilia mili minane ya waathiriwa wa mauaji ya Kwa Binzaro-Shakahola ambayo imekuwa ikihifadhiwa kwenye chumba cha kuhifadhi maiti cha hospitali ya Malindi, kaunti ya Kilifi kwa familia zao ili izikwe. Mtaalamu wa serikali wa uchunguzi wa mili Dkt Richard Njoroge anasema mili hiyo ni miongoni mwa waathiriwa 14 waliotambuliwa kupitia uchunguzi wa chembechembe za msimbojeni za mili 53 na vipande vya mili 44 vilivyofukuliwa kutoka kaburi la pamoja kwenye msitu wa Shakahola. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive