Skip to main content
Skip to main content

Milioni 3.4 watumia baiskeli Beijing kukabiliana na uchafuzi wa hewa

  • | Citizen TV
    1,648 views
    Duration: 3:06
    Ongezeko la uchafuzi wa hali ya hewa ambalo ni tatizo kubwa nchini China limesababisha utumizi wa baiskeli kama mbinu endelevu ya usafiri kurejea kwa kishindo katika jiji la Beijing. Kupitia teknolojia na ubunifu, wakazi wa jiji hilo wanatumia kiunzi kwenye simu za rununu kuagiza baiskeli ambazo wanatumia na kisha kuziacha katika maeneo maalum ya kuegesha baiskeli. Mbinu hiyo imewapunguzia gharama ya usafiri kando na kusaidia katika juhudi za kuhifadhi mazingira na kupunguza msongamano wa magari jijini Beijing. Na kama anavyoarifu Bo