7 Aug 2026 7:31 pm | Citizen TV 787 views Duration: 1:57 Hali ya mkanganyiko imeibuka baada ya Mahakama ya Malindi kubaini kuwa uchaguzi mkuu unafaa kufanyika Jumanne tarehe 11 mwezi Agosti mwaka huu wa 2026, na wala sio mwaka Ujao wa 2027.