Skip to main content
Skip to main content

Mkurugenzi wa DCI Amin na Gachagua watofautiana kuhusu uchunguzi wa mauaji ya Dkt. Mutiso

  • | Citizen TV
    13,118 views
    Duration: 3:02
    Mkurugenzi Mkuu wa DCI Mohamed Amin na kiongozi wa upinzani Rigathi Gachagua wamejibizana kuhusu uchunguzi wa kifo cha Dkt. Victoria Mutiso. Amin anadai kuwa Gachagua amekuwa akizungumza na washukiwa wakuu wa mauaji hayo, huku Gachagua akimshutumu Amin kwa kujaribu kuwaficha maafisa wa polisi wanaodaiwa kuhusika na mauaji hayo.