Skip to main content
Skip to main content

Mkusanyiko wa taarifa za biashara

  • | KBC Video
    331 views
    Duration: 3:20
    Serikali inachunguza uwezekano wa makubaliano ya ushirikiano wa sekta ya umma na ile ya binafsi ili kupata shilingi bilioni-80 kufadhili ujenzi wa mtambo wa kwanza wa utafiti wa kinyuklia, kwa lengo la kuboresha ufahamu kuhusu mfumo wa nyuklia. Katibu wa idara ya Sayansi, Utafiti na Ubunifu, Prof. Shaukat Abdulrazak, amesema mradi huo utaisaidia Kenya kujenga ujuzi na kujipatia mapato kupitia matumizi yake katika nyanja za mafunzo, huduma za afya na viwanda. Taarifa kamili ni kwenye mseto ufuatao wa biashara Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive