- 782 viewsDuration: 2:59Na mkutano huo wa naivasha unaendelea huku wajumbe wakimkumbuka marehemu Raila Odinga huku wakisifia mchango wake wa kubuniwa kwa muungano huu wa odm na uda. na viongozi mbalimbali wakiwa wanahudhuria, mbali na hotuba ya rais aliyozungumzia kwa mapana maono yake ya muungano wa ODM na UDA, yapi mengine yanayotarajiwa kwa leo na kesho? tunazungumza na mwanahabari wetu