Skip to main content
Skip to main content

Moran kutoka Marsabit waandika historia mpya kama walinzi wakuu wa pundamilia aina ya 'Grevy’s'

  • | NTV Video
    3,169 views
    Duration: 5:03
    Waliowahi kujulikana kwa uvamizi wa mifugo uliogharimu maisha ya wengi, sasa vijana wtamaduni wa Moran katika Kaunti ya Marsabit wanaandika historia mpya kama walinzi wakuu wa pundamilia adimu aina ya Grevy’s, ambao wako katika hatari kubwa ya kutoweka.Wakiwa na simu za kisasa na mifumo ya GPS wanapiga doria katika maeneo mapana ya malisho wakikusanya taarifa kuhusu maeneo wanakoonekana pundamilia hao, vyanzo vya maji, hali ya malisho na uharibifu wa makazi yao kwa wakati halisi. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya