- 27,232 viewsDuration: 2:50Familia moja kutoka eneo la Barnabas ,Nakuru inaiomba serikali kuisaidia kumrejesha mwana wao wa miaka ishirini aliyekamatwa nchini Thailand. Anthony Mwangi alielekea Thailand mwezi oktoba mwaka uliopita ila akakamatwa alipofika nchini humo.