Skip to main content
Skip to main content

Mshauri wa Rais atoa wito kwa sekta binafsi kuingilia vita

  • | Citizen TV
    636 views
    Duration: 2:45
    Mshauri wa rais kuhusu haki za wanawake Harriette Chiggai ametoa wito kwa sekta ya binafsi kujiunga na vita dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia, akisema swala hilo bado ni kikwazo kikubwa katika kufikia uwezo kamili wa wanawake. Mshauri huyo anasema kwamba visa hivi vinazuia wanawake kujiendeleza na kuijenga kiuchumi.