- 3,799 viewsDuration: 2:38Mmoja wa washukiwa kwenye mauwaji ya itikadi ya kidini eneo la Shakahola yaliyotokea mwaka wa 2023 kaunti ya Kilifi sasa amebadilisha nia na kuwa shahidi wa serikali. Jaji wa mahakama ya Mombasa Diana Mochache akiagiza upande wa mashtaka kuhakikisha kuwa shahidi huyo ameandikisha upya taarifa yake ya kukiri yaliojiri msituni