Skip to main content
Skip to main content

Mshukiwa wa mauaji ya Nasibo Tadicha mwenye umri wa miaka 19,afikishwa mbele ya mahakama ya Isiolo

  • | Citizen TV
    563 views
    Duration: 2:17
    Mshukiwa mkuu katika mauaji ya kikatili ya msichana mwenye umri wa miaka 19, Nasibo Tadicha, yaliyotokea mwezi uliopita katika eneo la Malkagalla, Merti, Kaunti ya Isiolo, afikishwa mbele ya mahakama ya Isiolo kujibu mashtaka yanayomkabili.