- 12,239 viewsDuration: 2:53Mshukiwa wa wizi wa magari Samuel Omondi Audi amekamatwa. Audi alikamatwa jana jioni katika eneo la Mai Mahiu baada ya makachero kumfuatilia kidijitali. Kwa mujibu wa polisi, alikuwa akisafirisha mihadarati kwa kutumia gari alilokamatwa nalo. Waathiriwa wa magari yaliyopotea walifurika katika Kituo cha Polisi cha Mlolongo kutoa taarifa zaidi kuhusu visa hivyo.