- 3,635 viewsDuration: 3:23Tukiangazia KCSE ni kuwa, furaha zimeendelea kwa familia za wanafunzi waliofanya vyema kwenye mtihani huu wa kitaifa, lakini Mbali na shangwe hizi, kuna wale walio na simulizi za kuvutia ambao hawakukata tamaa licha ya mazingira magumu. Miongoni mwao ni Shalom Wambua Mumo, ambaye licha ya changamoto za kifamilia, alipata alama ya A. Ben Kirui na simulizi yake.