Wakazi wa kaunti ya Busia wameeleza changamoto kadhaa za kiusalama zinazowakabili katika mji huo wa mpakani wakati wa mkutano wa Jukwaa La Usalama . Wakazi hao walilamika kuhsu wizi mpakani, ulanguzi wa mihadarati na pombe haramu kutoka nchi jirani, pamoja na kunyanyaswa kwa wavuvi wa humu nchini na maafisa wa usalama wa Uganda.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive