- 154 viewsDuration: 3:12Gavana wa kaunti ya Tharaka Nithi Muthomi Njuki ndiye mwenyekiti mpya wa baraza la magavana humu nchini. Baraza hilo pia lilimchagua gavana wa Bungoma Kenneth Lusaka kuwa naibu mwenyekiti huku gavana wa Baringo Benjamin Cheboi akisalia kama kiranja. Akizungumza baada ya kuchaguliwa, Njuki aliahidi kupatia kipaumbele ushirikiano baina ya magavana na bunge la kitaifa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive