Skip to main content
Skip to main content

Mvua yachelewesha uokoaji wa miili ya watu 11 waliopoteza maisha kwenye ajali ya ndege Kwale

  • | Citizen TV
    32,467 views
    Duration: 3:40
    Shughuli ya kuondoa miili ya watu 11 walioangamia kwenye ajali ya ndege iliyotokea leo asubuhi katika eneo la Tsimba Golini, kaunti ya kwale ingali kuanza huku mvua kubwa inayonyesha ikitatiza shughuli hiyo. Ndege hiyo iliyokuwa imewabeba watalii kumi kutoka hungary na ujerumani pamoja na rubani mkenya, ilianguka dakika kumi baada ya kupaa kutoka katika uwanja mdogo w andege wa Diani. Katibu wa Idara ya Uhamiaji Belio Kipsang ametoa hakikisho kuwa anga za Kenya ziko salama.