Skip to main content
Skip to main content

Mwanafunzi wa gredi ya 10 auliwa kufuatia ugomvi kuhusu nani angeongoza sala

  • | NTV Video
    32,757 views
    Duration: 3:44
    Polisi wameanzishwa uchunguzi kubaini mazingira yalisababisha kifo cha mwanafunzi wa Gredi ya 10 katika Shule ya Upili ya Thika, Kaunti ya Kiambu, aliyefariki baada ya ugomvi unaodaiwa kuzuka kufuatia kutofautiana kuhusu nani angeongoza sala. Huku mwanafunzi mmoja akizuiliwa na polisi kuhusiana na tukio hilo, familia ya marehemu sasa inataka ukweli ujulikane na waliohusika wawajibishwe. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya