Hatimaye familia ya mwanamke aliyefariki akiwa kazini Saudi Arabia imeweza kumzika nyumbani kwake. Jane Omondi, kutoka Kaloleni, Kaunti ya Kilifi, alifariki mwaka 2024 na kuzikwa Saudi Arabia bila ufahamu wa familia yake. Watetezi wa haki za binadamu wanasema kifo chake ni dhihirisho la visa vinavyoendelea vya unyanyasaji wa Wakenya wanaofanya kazi nje ya nchi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive