9 Jun 2026 10:30 am | Citizen TV 15,933 views Duration: 3:04 Familia ya mwanamke aliyeripotiwa kuuawa na mumewe huko Kuresoi North kaunti ya Nakuru sasa yadai haki ya mauaji yake. Yadaiwa Everline Nyarinda mwenye umri wa miaka 40 aliuawa kwa kukatwa katwa vipande