- 16,583 viewsDuration: 3:03Mwanawe mhubiri tata Paul Mackenzie aliyehukumiwa kwa mauaji ya wafuasi wake, anaelezea mateso aliyopitia mikononi mwa babake. Dan Mackenzie anasimulia jinsi yeye na wadogo wake walivyon y imwa chakula na maji na kulazimishwa kufunga. Na kama anavyoarifu Ben Kirui, mwanawe Mackenzie anasimulia kichapo alichopitia kutoka kwa waumini wa kanisa la Good News International kwa kukataa kufuata itikadi zake kali.