- 8,184 viewsDuration: 2:45Mwathiriwa wa pili aliyefariki kutokana na ugonjwa wa Ebola amezikwa leo katika makaburi ya Lang’ata, jijini Nairobi. Mazishi ya mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 65 yamefanyika kwa tahadhari kubwa na kwa kuzingatia itifaki za kisayansi zinazolenga kuzuia kuenea kwa virusi vya Ebola.