Skip to main content
Skip to main content

Mwenyekiti wa tume ya huduma za polisi nchini Komora atoa wito wa umoja na amani Tana river

  • | Citizen TV
    238 views
    Duration: 1:11
    Mwenyekiti wa tume ya huduma za Polisi nchini, Dkt. Amani Komora, amehimiza jamii ya kaunti ya Tana River kujiepusha na migawanyiko kwa msingi wa kikabila na kidini, akisisitiza umuhimu wa amani na utangamano wa kijamii katika kudumisha usalama.