Naibu rais Kithure Kindiki amewaonya wanasiasa dhidi ya jumbe za chuki na siasa zinazoleta migawanyiko, akisema maslahi ya viongozi wachache hayapaswi kuruhusiwa kutishia umoja na uthabiti wa kitaifa. Kindiki alizungumza hayo, katika eneo bunge la Kabete wakati wa ziara ya kukagua miradi ya maendeleo katika eneo hilo, ambako alizindua ujenzi wa Barabara. Wakati uo huo, baadhi ya viongozi walioandamana na naibu rais, waliahidi kutetea msimamo wake katika uchaguzi mkuu ujao.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive