Skip to main content
Skip to main content

Naibu rais Kithure Kindiki awaalika vinara wa vyama vya kisiasa katika chama cha UDA

  • | Citizen TV
    1,093 views
    Duration: 1:22
    Naibu rais Kithure Kindiki awaalika kinara wa chama cha PNU Peter Munya, mwenzake wa DP Justin Muturi na kinara wa chama cha DEP Lenny Kivuti kujiunga na serikali kufuatia tofauti zishuhudiwazo kati yao na kinara wa DCP, Rigathi Gachagua.