Skip to main content
Skip to main content

Nairobi United waibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya KCB FC Kasarani

  • | Citizen TV
    200 views
    Duration: 57s
    Timu ya Nairobi United imeitandika KCB Fc kwa mabao 2-0 kwenye mechi ya pekee ya ligi kuu ya taifa ya kandanda katika uwanja wa Kasarani. Naibos walipata bao moja katika kila kipindi na kukwea hadi nafasi ya saba kwenye jedwali