7 Aug 2026 7:41 pm | Citizen TV 749 views Duration: 52s Baraza la Jamii ya Ameru, Njuri Ncheke, limeirai jamii hiyo kumuunga mkono Naibu Rais Kithure Kindiki na Rais William Ruto katika azma yao ya muhula wa pili.