Skip to main content
Skip to main content

NTSA yataka mashirika ya matatu kuhamasisha wafanyakazi kuhusu usalama barabarani

  • | Citizen TV
    602 views
    Duration: 2:08
    Mamlaka ya uchukuzi na usalama barabarani NTSA imeyataka mashirika ya akiba na mikopo ya matatu kuhamasisha wafanyakazi wao kuhusu umuhimu wa kufuata sheria za trafiki hasa tunapoelekea katika msimu wa siku kuu .